Teknolojia Inapokuwa Kikwazo

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Mtanzania wa Kawaida, ulijisikiaje yalipokukuta haya na wewe maji yako shingoni?
 

Attachments

  • 165781_499296759570_621919570_5845909_6038709_n.jpg
    21.2 KB · Views: 384
Kwa kwelinhii kitu ni mateso bila chuki
 

Tumeshazizoea hizi ATM za kibongo sio kwamba ni mbovu bali wanafanya makusudi hawaweki hela za kutosha!
 
:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::focus::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle: BONGO TAMBARARE
 
ttizo ni kwamba technology imefika kwetu tukiwa bado hatujajiandaa!
 
naliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tena nalaaaaaaaaaaaaaaaaa then naliaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakopa vocha tigo nampigia jamaa yangu nipate mkopo rahisi
 
Ukisiki hasira inapanda mpaka utosini na wa kumlaumu huna usiombe ukutane na hii kitu kweli ndugu yangu hayo ni mateso bila chuki au kiufa bila kukata roho maana pesa yako lakini kuipata ni lazima uobey hilo tangazo hata kama ni mkubwa kama nyumba.
 
Na kwa sababu watanzania ni wapole na wasiojali muda wao, watahama hapo na na kujaribu nyingine na nyingine na nyingine mpaka pale ama atakapoishiwa nauli au mafuta. Teh Teh Teh
 
Kusema ukweli hawa jama maneno yao na vitendo ni tofauti kabisa!
Hebu zungguukia ATM kama uatakuta zote zinafanya kazi!
Ingia tawi la pale Vijana wamechukua eneo kubwa (ili 10% nayo iwe kubwa) halafu sehemu zaidi ya nusu iko wazi! kama haitoshi kuna counter kama 10 hivi lakini ukiingia uakuta sanasana tatu ndio zina cashiers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…