wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Habari za kazi watanzania tunaoitakia mema nchi yetu kiujumla.
Napenda kusema yafuatayo kuhusiana na mjadala wa tukio hili la kipropaganda la kutekwa na kuteswa bwana kabanda.
Nimekuwa napenda kufuatilia kila kinachojili ili kuweza kubaini na kutambua nini kinaendelea.
Nimefanya uchunguzi binafsi na kubaini yafuatayo kitaalamu.
1.Mtu aliyeweka Video clip katika mtandao wa youtube anaonekana ni mtu wa karibu na mkurugenzi wa mawasiliano ya ikulu anajiita BUKOBA BOY. Hakuna asiyejua akina RWEYAMANU ni watu wa wapi.
2.Video clip hii si ya hivi karibuni ilipigwa Mnamo tarehe 28-12-2012 yaani mwaka jana.uchunguzi unanionyesha Bwana Lwakatare alikuwa anajua anarekodiwa, na alikua anajua nini kinataka kufanyika baadae kwa makubaliano waliyokubaliana ukiiangalia na kuichunguza ni yeye kweli na inapoanza tu anasema sogeza MIC kiutaalamu nasema hivi kwa sababu linasikika neno MIC maneno ya nyuma nyuma (SOGEZA) Yamekatwa.
VID-20121228-00005 - YouTube
Click ama copy link na upaste kwenye browser yako uangalie na ikibidi download
Kwa sababu za kiusalama na kulitakii mema taifa letu,mtu mwema ambaye si mnafiki, angelifikisha hiyo video Polisi kuanzia tarehe 28/12/2012 na mapema January 2013 angekuwa na uzalendo. Kujua tu mambo flani kidogo katika technlojia ya sasa ya audio, video na computer kusimfanye akadharau watanzania walio wengi akidhani wako nyuma kwa kuwalisha pumba na mikakati mibaya kuchafua CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
3.Mtu aliyekuwa anapewa maelekezo ya huo utekaji unaozungumzwa ndio huyohuyo aliyekuwa anarekodi hiyo video tena kwa kutumia simu ya Nokia. Hii ni hakika . Alivyokuwa hajui hata mambo ya kiusalama ameshidwa kui RENAME clip aka uplod hivyo hivyo VID-20121228-00005. Ni clip ya tano kati ya clip alizo record siku hiyo.
Nina uhakika na hili. (BUKOBA BOY) Ukiangalia katika mtandao wa youtube ametuma video clip tano tu na zote zinahusiana naishu hii tu. Zikionyesha video hii , na karatasi anayodai Rwakatale alikuwa akiitumia kama rafu bwana rwakatale wakati ana toa maelezo. Bukoba boy anasema hivi
Hii kataratasi ndiyo aliyoitumia Lwakatare kuchukua note/ dondoo wakati anatoa maelekezo kwa vijana kwenda kuandaa mipango ya utekaji. hiyo namba hapo juu kulia ni ya MSACKY wa kampuni ya mwananchi ambaye naye ni target ya kutekwa. Nimeona mijadala mbalimbali ikieleza kwamba video iliyomwonyesha LWAKATARE ni ya UONGO, hivyo nimeweka hapa mwandiko wa mkono wa Lwakatare ili kuthibitisha UKWELI wa taarifa hizi. Tutazidi kuweka bayana ushahidi mwingine. NIPO HAPA KUWAFANYA WATANZANIA WAUJUE UKWELI WA MATUKIO HAYA YA KUSIKITISHA YANAYOENDELEA HAPA NCHINI. KWELI ITAKUWEKA HURU DAIMA. Mwisho wa kumnukuu. Na ndani ya hiyo karatasi inaonyesha namba ya mtu aliyekusudiwa hiyo namba ni 0764-331010
Ukiangalia hili unapata ukweli kujua kwamba baada ya kuweka video ya uongo, na watu kupinga amekuwa anaendela kulitetea hili na kuzidi kudhibitisha kwa kuonyesha hata karatasi aliyokuwa anaitumia mtuhumiwa kuandika andika . ndio maana nasema video haikupigwa bahati mbaya kila kitu kinachoendelea kinajulikana na kimeandaliwa.
Na kudhibitisha hili kama nilivyosema video hii si ya juzi wala jana ni ya tarehe 28-12-2012 siku tatu baada ya KRISMASI ndio utasikia ndani ya video kuna mtu anaingi ana kuwauliza za sikukuu. Jamani mbona vichekesho hivi,
Hivi ishu kama hii watu wanapanga mkakati kama huu, anaweza kuingia mtu ndani ghafla na mlango upo wazi mpaka anaingia na kuwasemesha mpaka anatosheka na kuondoka.?
4.(Bukoba boy)Pia kitaalamu kwa mtu kama mimi. Namuona bado ni mchanga kwenye masuala ya teknohama. Amejaribu kudanya wasioju teknohama. Amefungua akaunti kwa ajili ya kufanyia uongo huu mnamo tarehe 11 march 2013.
Nafanya trace na tracking kujua alituma hivi vitu akiwa wapi na kujua yeye ni nani hakika hili wala si jambo kubwa kwangu.
5. uzoefu unaonyesha CCM na serikali imekuwa ikifanya matukio na kuya propaganda hili linaushahidi wa kutosha,
i.Ukianzia kifo cha mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi hicho. Marehemu Kombe nani hajui alikufaje?
ii.Kutekwa kwa Dr Ulimboka ,walipofeli kumuua na kubahatika kupona walihaha kuanzia kuzuia gari wa kati anapelekwa hospital, Ghafla waka propaganda aliyemeteka ni mkenya kajisalimisha kanisani kutubu anashikiliwa najeshi ya polisi.kesi upepelezi haujakamilika. Dr ulimboka kwenda kumtambua hawataki.
Tuache hili hayatuhusu Tuangalie hili tunafanyaje:
Mimi napenda kushauri CHAMA CHA CHADEMA kumuachia Bwana Rwakatale BLACKMAILED YAKE kama alivyo pokea ujira wake.
Na hapo chama wala katikakuwa hivyo wanavyo taka wao, wala wanavyokusudia, kwa nini nasema hivi
Nani hakumbuki habari zilivyotawala vyombo vya habari mnammo tarehe 27 december 2011
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Kata ya Mtibwa, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Bi.Tusekile Mwakyoma (28), amechomwa kisu chini ya ziwa la kushoto na mchumba wake Mkurugenzi wa Mafunzo na Uenezi wa chama hicho, Bw.Songa Mgweno, mkazi wa Kijiji cha Kilimanjaro, ambaye alitoweka baada ya tukio hilo.
Akizungumza na Majira akiwa wodini katika Hospitali ya Misheni Bwagala, Bi.Mwakyoma alisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana ambapo Bw.Mgweno, alikimbia na fedha zake sh.200,000.
Huyu Bw.Mgweno ambaye ni mchumba wangu, alinipigia simu saa mbili usiku niende nyumbani kwake Kijiji cha Kilimanjaro ili nikachukue fedha zangu, niliamua kulala huko na ilipofika alfajiri, aliniamsha na kuniuliza nimefanya juhudi gani kuhakikisha wazazi wangu wanakubali anioe lakini nilimwambia sina jibu.
Tuliendelea kulala lakini baada ya muda, alianza kunipapasa nikasikia maumivu makali chini ya ziwa la kushoto, baada ya kujichunguza, nikaona kisu kikining'inia, alisema
Nini kikafuata?
Mtuhumiwa ghafla ikafanywa anaugonjwa wa akili , ikasemekana amepelekwa milembe hospital ya vichaa. Ahahaaaa inafurahisha mtuhumiwa hana historia ya uchizi hata kidogo ninavyo andika waraka huu mtuhumiwa yupo huru anakula bata mnajua.?
Kaka yake ni afisa usalama hapo ikulu dare s salaaa. Nani hamjui
Nao ni mpango ulishasukwa mapema.
Mwisho napenda kusema wanachama na watanzania tusizubaishwe na hili, kwa ni hili limekuwa ni mazoea kukiwa na jambo ya gesi kufunikwa na hili, kukiwa na migomo ya waalimu kufunikwa na jambo jengine ndio imekua fasheni.
Rwakatale sio chadema ,Rwakatale ni mwanachama ashikatikwe kwa mujibu wa Blackmailed yake wala chama Hakina sababu ya kumtetea kwa anajua alilolifanya na Mungu ni shahidi yake.
Natanguliza shukrani
MTANZANIA MWENYE UCHUNGU NA TANZANIA