Teja na mchina

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Mwizi flani teja alimpiga mtama
mchina.Mchina alipoanguka chini teja
akampora simu yake.
Mchina akaamua kumkimbiza huyo
mwizi,mwizi alipoona mchina hachoki
akaweka simu chini na akaendelea
kukimbia.
Mchina akachukua simu yake na
kuendelea kumkimbiza.Teja akamuuliza
"Oya 'jet li' mbona nuksi hivyo!....simu
yako nimekupa unataka nini tena?"
Mchina akajibu "Bado sijakupiga
mtama!"
 
huyo Mchina lazima ana undugu na yule jamaa mwenye misemo ya mbayuwayu, ambaye kila uchao anapiga picha na watu wasio na tija kwa taifa letu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom