Skata mtataJr
Member
- Feb 10, 2017
- 22
- 26
Angalia vizuri swali lako ninahisi limekosewa!!TEGUA KITENDAWILI HIKI ILI TUONE KAMA UNAWEZA KUFIKIRIA KWA MAKINI.
KINASEMA:
"(Mimi Niwakwanza Duniani Na Niwapili (2) Mbinguni,
Huwa Natokea Na kuonekana Mara Mbili (2) Kwa Wiki Lakini Waweza Kuniona Mara Moja (1) Tu
Kwa Mwaka Japokuwa Nipo Katikati Ya
BAHARI
Je Mimi Ni Nani?
Na ninaishi Wapi?"
kwa kiswahili hupati jibu ila mpaka kwa kiingereza!Swali
Ndo lilivyo ndugu yanguAngalia vizuri swali lako ninahisi limekosewa!!
Haaaaaaa Haaa Haaaaa Haaaaa HaaaaaJini Maimuna
Tusaidiane basi hata kulirekebisha likae vizur ili tupate majibuumegeuza mkuu halipo hivyo...
Thanks much....I am the first on Earth, the second in Heaven. I appear two times in a week you can only see me once in a year. Although I am in the middle of the sea, l am not found in month, but l am in February, June, September, October, November & December
Kumbe wewe mwenyewe huujui ufasaha wake!!! Sasa jibu si itakuwa majanga!!Tusaidiane basi hata kulirekebisha likae vizur ili tupate majibu