GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,706
- 128,214
Mkuu umeua eti ubongo umejaa maji machafu na matope,hapa hata John Hopkins school of medicine watatoka kapa duuuuuuuh.
ndio maana nikakwambia tabia zako na Dada zako hazipishani.jf is no longer home of great thinkers
Great Thinker Huwa ANATAGISHWA MAYAI Kama Wewe? Hivi Jana Watu Humu Walivyokuwa Wanamsema Na Kumtuhumu Mbunge Sugu Kuwa Anavuta Mno Bangi Na Kunywa Viroba Na Ndiyo Maana Anakumbwa Na Maswahibu Yale Pale NYIE MNAOJIITA Ma GREAT THINKERS Mlikuwa Hamumshambulii Mbunge Sugu? Je Mbona Sikukuona Ukijitokeza Jana Kulikemea Lile? au Kwako Wewe MKEMEO Unakuja Pale Tu GENTAMYCINE Anaposema Jambo Humu JF?...Nachukiwa Na MAPOPOMA Wengi Humu ILA Napendwa Na WENYE AKILI, MAARIFA na WANAOONA MBALI Humu JF Na Labda Niseme Tu Sitobadilika Na Ukija Na Hoja Ninayoijua Na Ninayodhani Kuwa Nikisema Ukweli Nitawapa Watu Ufahamu Na Kuchukua Tahadhari Sitochoka Wala Kuogopa Kukisema Na Bahati Nzuri MSHIPA Wangu Wa UWOGA Ulikatwa Pale Pale Agha Khan Hospital Wodi Ya UZAZI Mwaka 1979 Na Mkunga Sister Natasha Darleen Siku Ya Jumanne Saa 1 Kasorobo Asubuhi Nilipoiona Tanzania Ya Babu Yangu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere.

Yaani kwa maneno yako nina uhakika upo TEAM WEMA au TEAM KAJALA.
Mwanaume huwezi kujisifia kuwa bingwa wa maneno ya shombo
Hata Mimi sitachoka kuwaridisha kwenye mstari wanaume maumbile wanawake kitabia
Tatizo La Tegete Si Kucheza Mpira Ila Ana Tatizo Sasa Kubwa La Kisaikolojia Haswa Baada Ya Kugundulika Kuwa AMEJIKWAA Kiafya ( Hapa Nadhani Mtakuwa Mmenielewa ) Na Pia Kitendo Cha Yule Demu Wake Wa Mwananchi / Mwanaspoti ( Magazeti ) Kugundulika Kuwa Yeye Yupo SALAMA Na Kuamua Kumtema Jerry Na Kumfukuza Nyumbani Kwake Sinza Kumemgharimu Mno Dogo Haswa Ukizingatia Jerry Alikuwa Analelewa Tu Na Huyo Demu Na Alipoachwa Nae Akawa Anaishi Gesti Za Tabata. Wanaomsaidia Sasa Kumuweka Sawa Kisaikolojia Ni Canavaro Na Chuji. Ushauri Wangu Tu Kwake Jerry AJIKUBALI Na Awaige Wenzake Dogo Ngassa Na Okwi Ambao Wenyewe WAMESHAJIJUA Na Sasa Wanaponda Tu Raha Kwa Kwenda Mbele Huku Wakisukuma Siku. Abstain, Be Faithful Or Condomize Guys Please!
umesikika kotekote mjombahakuna tabia inayonikera kama kumtangaza mwenzako ana ukimwi.hivi wewe unaemsema mwenzako wewe umepima lini?.kumbuka ukimuonyeshea mwenzako kidole kimoja kuna vitatu vinakutazama.hata kama anaumwa kweli we kinakupwelepweta nini.hebu kuwa busy na maisha yako haya mambo mengine tuwaachie wakina dada.tubadilike.
matokeo tafadhali
uliangukia pua Yeboyebo, hamia Msimbazi upate ahueni
Ukinijia Vibaya Hayo Ndiyo Madhara Yake. Napenda Sana Mtu Anayejua KUFIKIRI Na Si POPOMA!
Hakuna tabia inayonikera kama kumtangaza mwenzako ana ukimwi.Hivi wewe unaemsema mwenzako wewe umepima lini?.Kumbuka ukimuonyeshea mwenzako kidole kimoja kuna vitatu vinakutazama.Hata kama anaumwa kweli we kinakupwelepweta nini.Hebu kuwa busy na maisha yako haya mambo mengine tuwaachie wakina dada.tubadilike.
Nenda falagha, nmeku-PM