GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,214
hapo anayefuatia ni Mrisho Ngono tena hawa ni maswahiba
sawasawa ingawa nahisi 78% hukunisoma sawia
Bongo Kuna Kupimana? Tangia Lini? Bongo ktk Kila Sekta Ni MATAPISHI Matupu na Full MAGUMASHI.
wapi9mwe na nani? sana wanaapimwa misuli tu kama imashiba
safu ya ushambulizi ni butu bado
Bongo Kuna Kupimana? Tangia Lini? Bongo ktk Kila Sekta Ni MATAPISHI Matupu na Full MAGUMASHI.
Ila club ya yanga na simba hata usijili unaboa,wachezaji wale wale wanabadilishana hawaangalii uwezo wa wachezaji chupukizi,wachezaji wengi akitoka yanga anarudi simba,akitoka simba anarudi yanga,bongo ingekuwa wanaangaliwa viwango hata hawa wenye majina wangeogopa kupoteza namba zao
kATIKA WANAUME wasiojitambua wewe ni mpuuzi na mjinga namba moja ,yaani kwa Habari hizi za nani KAUMIA ndizo pekee zilizojaa kwenye memory center yako.Kama bongo hawapimwi wewe huo umbeya unautoa wapi jinga wewe.
Huyo Dogo Kuoa Kwake Ni Formality Tu ILA Anaueneza Kama Hana Akili Nzuri Na Bibie ISHA MASHAUZI Nae Ameshaingia ktk Anga Zake Na Sasa Ndiyo Ana MGEGEDA..... Dogo Ngassa Anapenda Mno Na Sana MITINGINYA a.k.a Marcopolo Na Yutong Na Ndiyo Hao Hao Waliomwambukiza. Namsikitikia Sana Isha Mashauzi Kwani Ni Poti Wangu Wa Mara Ila Ndiyo Hivyo Tena.
Hapana Kwako ILA Mimi Nimeshamaliza....au Unataka Nikuongezee Na Wengine Na Mengineyo Uchoke Zaidi?
akafie mbali kabisa huyu dogo ana nyondo sana domo kubwa chapati hakunji
Huyo Dogo Kuoa Kwake Ni Formality Tu ILA Anaueneza Kama Hana Akili Nzuri Na Bibie ISHA MASHAUZI Nae Ameshaingia ktk Anga Zake Na Sasa Ndiyo Ana MGEGEDA..... Dogo Ngassa Anapenda Mno Na Sana MITINGINYA a.k.a Marcopolo Na Yutong Na Ndiyo Hao Hao Waliomwambukiza. Namsikitikia Sana Isha Mashauzi Kwani Ni Poti Wangu Wa Mara Ila Ndiyo Hivyo Tena.
Ila club ya yanga na simba hata usijili unaboa,wachezaji wale wale wanabadilishana hawaangalii uwezo wa wachezaji chupukizi,wachezaji wengi akitoka yanga anarudi simba,akitoka simba anarudi yanga,bongo ingekuwa wanaangaliwa viwango hata hawa wenye majina wangeogopa kupoteza namba zao
sawasawa ingawa nahisi 78% hukunisoma sawia
Ongeza mkuu ututoe gizani mashabiki..
Hupaswi kuongea mambo binafsi ya mtu namna hii hata kama unamchukia,badilika
Tatizo La Tegete Si Kucheza Mpira Ila Ana Tatizo Sasa Kubwa La Kisaikolojia Haswa Baada Ya Kugundulika Kuwa AMEJIKWAA Kiafya ( Hapa Nadhani Mtakuwa Mmenielewa ) Na Pia Kitendo Cha Yule Demu Wake Wa Mwananchi / Mwanaspoti ( Magazeti ) Kugundulika Kuwa Yeye Yupo SALAMA Na Kuamua Kumtema Jerry Na Kumfukuza Nyumbani Kwake Sinza Kumemgharimu Mno Dogo Haswa Ukizingatia Jerry Alikuwa Analelewa Tu Na Huyo Demu Na Alipoachwa Nae Akawa Anaishi Gesti Za Tabata. Wanaomsaidia Sasa Kumuweka Sawa Kisaikolojia Ni Canavaro Na Chuji. Ushauri Wangu Tu Kwake Jerry AJIKUBALI Na Awaige Wenzake Dogo Ngassa Na Okwi Ambao Wenyewe WAMESHAJIJUA Na Sasa Wanaponda Tu Raha Kwa Kwenda Mbele Huku Wakisukuma Siku. Abstain, Be Faithful Or Condomize Guys Please!