Jerry Tegete baada ya kusotea benchi kwa muda mrefu sasa ameamua kuja na visingizio vya kusumbuliwa na nyonga eti ndio maana hachezi
- asituongopee wafuatiliaji wa soka maana anachofanya ni sawa na mchezaji anayetolewa na kujifanya ameumia kumbe kaboronga/hajawajibika ipasavyo
- Ni kawaida ya Yanga kuwa na mazindiko kambini, na sasa limemvaa Tegete baada ya Fred Mbuna
- akiona mambo magumu ajitie nira ya straika wa Kagame (..............)
TEGETE AENDELEA KUUMIZWA NA MAUMIVU YA NYONGA - SALEH JEMBE
Tatizo La Tegete Si Kucheza Mpira Ila Ana Tatizo Sasa Kubwa La Kisaikolojia Haswa Baada Ya Kugundulika Kuwa AMEJIKWAA Kiafya ( Hapa Nadhani Mtakuwa Mmenielewa ) Na Pia Kitendo Cha Yule Demu Wake Wa Mwananchi / Mwanaspoti ( Magazeti ) Kugundulika Kuwa Yeye Yupo SALAMA Na Kuamua Kumtema Jerry Na Kumfukuza Nyumbani Kwake Sinza Kumemgharimu Mno Dogo Haswa Ukizingatia Jerry Alikuwa Analelewa Tu Na Huyo Demu Na Alipoachwa Nae Akawa Anaishi Gesti Za Tabata. Wanaomsaidia Sasa Kumuweka Sawa Kisaikolojia Ni Canavaro Na Chuji. Ushauri Wangu Tu Kwake Jerry AJIKUBALI Na Awaige Wenzake Dogo Ngassa Na Okwi Ambao Wenyewe WAMESHAJIJUA Na Sasa Wanaponda Tu Raha Kwa Kwenda Mbele Huku Wakisukuma Siku. Abstain, Be Faithful Or Condomize Guys Please!
chuji amuweke kisaikolojia Tegete?????????Tatizo La Tegete Si Kucheza Mpira Ila Ana Tatizo Sasa Kubwa La Kisaikolojia Haswa Baada Ya Kugundulika Kuwa AMEJIKWAA Kiafya ( Hapa Nadhani Mtakuwa Mmenielewa ) Na Pia Kitendo Cha Yule Demu Wake Wa Mwananchi / Mwanaspoti ( Magazeti ) Kugundulika Kuwa Yeye Yupo SALAMA Na Kuamua Kumtema Jerry Na Kumfukuza Nyumbani Kwake Sinza Kumemgharimu Mno Dogo Haswa Ukizingatia Jerry Alikuwa Analelewa Tu Na Huyo Demu Na Alipoachwa Nae Akawa Anaishi Gesti Za Tabata. Wanaomsaidia Sasa Kumuweka Sawa Kisaikolojia Ni Canavaro Na Chuji. Ushauri Wangu Tu Kwake Jerry AJIKUBALI Na Awaige Wenzake Dogo Ngassa Na Okwi Ambao Wenyewe WAMESHAJIJUA Na Sasa Wanaponda Tu Raha Kwa Kwenda Mbele Huku Wakisukuma Siku. Abstain, Be Faithful Or Condomize Guys Please!
Tatizo La Tegete Si Kucheza Mpira Ila Ana Tatizo Sasa Kubwa La Kisaikolojia Haswa Baada Ya Kugundulika Kuwa AMEJIKWAA Kiafya ( Hapa Nadhani Mtakuwa Mmenielewa ) Na Pia Kitendo Cha Yule Demu Wake Wa Mwananchi / Mwanaspoti ( Magazeti ) Kugundulika Kuwa Yeye Yupo SALAMA Na Kuamua Kumtema Jerry Na Kumfukuza Nyumbani Kwake Sinza Kumemgharimu Mno Dogo Haswa Ukizingatia Jerry Alikuwa Analelewa Tu Na Huyo Demu Na Alipoachwa Nae Akawa Anaishi Gesti Za Tabata. Wanaomsaidia Sasa Kumuweka Sawa Kisaikolojia Ni Canavaro Na Chuji. Ushauri Wangu Tu Kwake Jerry AJIKUBALI Na Awaige Wenzake Dogo Ngassa Na Okwi Ambao Wenyewe WAMESHAJIJUA Na Sasa Wanaponda Tu Raha Kwa Kwenda Mbele Huku Wakisukuma Siku. Abstain, Be Faithful Or Condomize Guys Please!
Duh!! Ya kweli haya!
Huwa Sibahatishi Na Nina Uhakika Na Nikiandikacho Humu. Wachezaji Wa Kibongo Ni Full Ngononization Tena Iliyo Zembe.
chuji amuweke kisaikolojia Tegete?????????
ama kweli waacheni wafu wazike wafu wao
hii sasa hapana bana
Kama Unashangaa Ya Chuji Kwa Tegete Mbona Hushangai Jinsi Marehemu Patrick Tabe Mutesa Mafisango ( Petit ) Jinsi Alivyoweza Kumbadili Na Kumtuliza Haruna Moshi Boban Kipindi Kile Na Kila Mtu Alishangaa Na Tulimsifu Na Kumpongeza Sana Marehemu? Tukiwa Tunajibu Hoja Hebu Pia Tuwe Tunafanya Na Reference Na Tuache Dharau Na Ubishi Wa Kijinga Na Wa Ki POPOMA. Kila Mbuyu Na Shetani Wake Na Jaribu Sana Kusomasoma Masuala Ya Psychology Utajifunza Mengi Na Hata Kupata Ufahamu Zaidi Ya Huo Unaodhani Labda Unao......Shit!
kwani wakati wa usajili na uhamisho hawapimwi?