Tegeta escrow calculation

Tegeta escrow calculation

HUSSEIN MUSHI

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
51
Reaction score
18
Ukiamua kuwanunulia WTZ wote bia kila mtu atapata zake 3
 
Attachments

  • 1416771132026.jpg
    1416771132026.jpg
    32.4 KB · Views: 490
Aiseee hamada utamjua tu we ulichoona cha muhimu bia.
 
Tupigie heasabu za kujenga shule/madarasa, au maabara au kuwalipa waalimu, au mkopo kwa wanafunzi wa vyuo nk. hii ya bia nadhani ungewaambia watu wanaokunywa baa nasiyo huku.
 
.......Ayaa, tupigie na mahesabu ya ile kitu yako unayoipenda (Bangi). Kila Mtanzania alitakiwa avute ngapi?
 
Tupigie heasabu za kujenga shule/madarasa, au maabara au kuwalipa waalimu, au mkopo kwa wanafunzi wa vyuo nk. hii ya bia nadhani ungewaambia watu wanaokunywa baa nasiyo huku.
??????????????? wanakunyweje baa? baa ni kimiminkia, yabisi au gesi?
Haya piga ni mifuko mingapi ya cement 321,000,000,000/= divide by 16,000/=
 
Back
Top Bottom