Tecno y3 haipandishi 3g [h+]

Tecno y3 haipandishi 3g [h+]

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
6,893
Reaction score
7,050
Habari:

Nina simu ya tecno y3 nikiset 3G network inaandika no service na laini inakuwa haisomi kabisa lakini ikiwa kwenye 2G inafanya kazi Kama kawaida, nimejaribu kubadilisha laini tofauti tofauti lakini hakuna mabadiliko yoyote.

Msaada tafadhali

Smart guy
 
Maana yake eneo hilo hakuna 3G au au 3G network ina shida muda huu
Hapana mdada eneo nililopo mtandao upo vizuri sana na hata laini hii nikiweka kwenye simu nyingine inasoma 3g Kama kawa.

Smart guy
 
Kuna matatizo yakikuta kwenye tecno hayakushangazi[emoji23][emoji23][emoji23]kama yangu hapa inajiwasha torch yenyewe,inafungua maaplication na kufungua kwahyo sishangai hata nishaizoea...
Hahahaha nilichogundua hili ni jukwaa lako pendwa

Halafu thread zinazohusu tecno lazima nikukute unavyowavunja moyo watumiaji wa tekno
 
Hahahaha nilichogundua hili ni jukwaa lako pendwa
Halafu thread zinazohusu tecno lazima nikukute unavyowavunja moyo watumiaji wa tekno
...Unajua iPhone user huwa wanajibu vipi ukisema iPhone haina jipya? Wanakujibu "Kwani wewe ulivyonunua ulitegemea ukute kipi"😂😂😂😂.....
 
Back
Top Bottom