Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

Yani brand yao sijawahi hata kufikiria kuitumia.

Acha waendelee kutoa tu,walengwa watazitafuta.
 
Sijui ambao wanakariri majina. Hizo ni specifications za juu kuliko simu nyingi zenye majina
Inaweza kuwa specifications za juu kwa number tu.
21 megapixel(tecno) = 8 megapixel (Samsung).
 
kwaiyo primary cam ni 42MP?
wanashindana na nani?
๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
Kweli iphone kiboka tecno bado wameiga kastyle flani
 
Inaweza kuwa specifications za juu kwa number tu.
21 megapixel(tecno) = 8 megapixel (Samsung).
Hawa huwa wako safi sana kwenye ubora wa camera zao afu tangu makampuni yatoe simu wao ndio waliotoa simu nyemba zaid duniani
 
ZTE axon 7 ni habari nyingine!!
 
Watashindana lakini hawatashinda (Iphone)daima ipo juu.

Binafsi natumia iphone 5S, japo toleo la nyuma kdgo lakini hata uniwekee iphone 4 na Tecno hiyo mpya still ntachukua iphone, tecno ina watu wake wale wapiga mziki kwa daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ