Tecno W4 msaada wataalamu wa Kuflash

Tecno W4 msaada wataalamu wa Kuflash

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Hii simu nimeiflash kwa sp tools, baada ya kuflash tu imekuwa na Tatizo la Touch
Wakuu nawezaje kutatua hili kwani nishajaribu touch kadhaa mzima tatizo ni lile lile
 
Kuna mikanda miwili but ule wa juu ndio unahusika na touch user interface... Angalia upo vizuri!? Na ile slot unapopachikwa hakuna uchafu na slt
 
Kuna mikanda miwili but ule wa juu ndio unahusika na touch user interface... Angalia upo vizuri!? Na ile slot unapopachikwa hakuna uchafu na slt
Bos unaweza nipa msaada kunitajia betri ya w5 kiasi gani kama unafahamu! Ahsanteh
 
Bos unaweza nipa msaada kunitajia betri ya w5 kiasi gani kama unafahamu! Ahsanteh
hapana mkuu sifahamu but know;edge niliyonayo kuhusiana na simu nimeipata kwa kutengeneza simu zangu mwenyewe pale zinapoharibika plus kusaidia watu voluntarily pale wanapohitaji msaada
 
Back
Top Bottom