kaka hii tablet ya windows inaitwa win book inauzwa marekani dola 60 (shilingi 120,000)inarun full windows, japo ina inferior specs kama 1gb ram lakini inatumia same processor sawa na hio tecno.
nimeicheki hio tablet ya tecno inauzwa naira 57,000 kama 580,000 za tanzania. niambie wewe tecno ni mkombozi wa wanyonge? anauza vitu bei rahisi?
even kina asus, lenovo,hp na toshiba wana tablet za internal 32gb na ram 2gb zinazorange dola 150 hadi 200 (shilingi laki 3 hadi 4). build quality ya tecno huwezi ifananisha na ya asus au hp au dell au lenovo na still vya kwao ni bei rahisi kuliko over priced tecno ila sababu hatufikirii tunaziba macho na masikio na kusema vitu vya tecno ni bei rahisi.
mimi nilishaacha kucoment kwenye thread za tecno sababu haina maana ku reason na mtu asietaka kuelewa kilichonivutia hapa ni huo usemi wako kuwa sasa hivi tecno anafanya patnership na microsoft kutengeneza tablet hivyo tueke mambo sawa hapa.
1.kuna windows
2. kuna windows with bing
hio windows with bing ndio ipo kwenye hii tab ya tecno na pia ni bureee kwa tablet za inch 10 kushuka chini, hivyo hakuna mambo ya genuine wala key wala activation linapokuja suala la windows with bing thats why unaona siku hizi kila kampuni inatengeneza tab za windows.
Windows 8.1 with Bing is free for OEMs despite initial $10 charge | Windows Central
Kaka Mkwawa habari vipi?
mashine hii ya tablet ya windows win book..
Hapa Tanzania imeshafika? itakuwepo mtaani labda kama unajua inaweza kuwa inapatikana maduka gani kwa msaada.
Kwa wapenzi wa brand ya tecno, kafanikisha vitu vya hatari, mmeviona?
Katoa tablet inaitwa Droid pad 8 au maarufu kama tecno 8H tablet safi sana niliiona Arusha kwa tsh 350000/= Google uone specifications
Picha
View attachment 268058
Ukiiona utaipenda aisee, sipigi promo
View attachment 268058
Angalia hapa specs kidogo.
Sasa iyo ni moja mwisho ni Win Pad 10, 2in1 inaitwa two in one kwasababu ni laptop na pia tablet
View attachment 268060
Inakuja na windows 8.1 upgradable up to Windows 10
View attachment 268061
Imetengenezwa kwa ushirikiano na Microsoft ikitumia cheap za intel
View attachment 268062
Unaweza ku Google ukaiona na sifa zake zote, hii tablet/laptop imenikosha kwakweli
I can't wait to grab it on my hands
NOTE
Hii Win pad 10 sijaiona isipokuwa kwa msaada wa google
NIMELETA UZI SI KUTOA PROMO ILA KUWAJULISHA TECNO FUNS KUWA NDG YETU KAWEZESHA TENA NA SASA KWA UKARIBU KABISA NA MICROSOFT
TECNO WANAKUA
Tecno hatengenezi simu wala tablet unless mtu alete ushahidi WA headquarter na factory zao zilipo.
Ninavyofahamu hawa jamaa wanabrand tu vitu. Kuna kampuni zinatengeneza hivyo vifaa halafu wao wananunua na kueka jina.
Even wewe ukiwa na dola zako 10,000 mpaka 20,000 tunaenda china tunarudi na mzigo.
Tecno hatengenezi simu wala tablet unless mtu alete ushahidi WA headquarter na factory zao zilipo.
Ninavyofahamu hawa jamaa wanabrand tu vitu. Kuna kampuni zinatengeneza hivyo vifaa halafu wao wananunua na kueka jina.
Even wewe ukiwa na dola zako 10,000 mpaka 20,000 tunaenda china tunarudi na mzigo.
Mkuu mbona unapenda kutudanganya wa Tanzania wakati siku izi dunia ya Google ipo mikononi?
Iyo win book uliotoa hapo inayouzwa dola 60 naomba link hapa alafu uilinganishe na ya tecno
Win book inayouzwa dola 60 ina 7" na hupati ikiwa full na hata na keyboard cover ya typing
Ile ya tecno ni 10.1" then ni complete na kitako chake si keyboard cover, specifications zake ni superior ina 2GB ram na internal storage ya 32gb
kaka hii tablet ya windows inaitwa win book inauzwa marekani dola 60 (shilingi 120,000)inarun full windows, japo ina inferior specs kama 1gb ram lakini inatumia same processor sawa na hio tecno
hata iyo win book ya 10.1" bei yake bila kuwa complete na cover ni usd 190 bila keyboard
Nimepitia amazon, e bay na kwingineko ukitaka complete full na key board ya hybrid ni dola 290 mpk 301$ sasa iyo kwa exchange rate sio 650000/= na zaidi ya Tanzania?
Alafu iyo win book TW 100 10.1' ni tofauti na ya tecno izo unazosema wewe si 2 in 1 hizi unazosema zinawekewa keyboard ya kawaida tu kama tablet nyingine, angalia ya tecno ilivo, kama unabisha lete picha utuoneshe hapa iyo win book ikiwa na hybrid combination kitako chake kinachoifanya 2 in 1 Bei yake alafu ulinganishe na tecno
Ifikie hatua ukubali mkuu vitu vilivo wazi dunia sio kijiji tena