King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Wadau habari ya mapumziko ya week end, kwanza nauliza swali, je! inawezekana kuifanya Android smartphone kuwa moderm kwa kuiconnect kwenye PC? Pili, kama jibu ni NDIYO, naomba kuelekezwa jinsi ya kuunganisha hizi tecno SP kwenye PC ili itumike kama Moderm.Asanteni