Juzi nilkua naenda kituo cha polisi nikiwa na ushahidi wa SMS 2lizotumiana na jamaa akikiri kuchukua simu yangu(nyingine),na kukataa kuirudisha,ebwanaa eeeh nmeeka zangu kitecno changu mfukon,ile nakaribia lango la kituo cha police nakitoa nihakikishe na kuanza kupanga naanzaje kutoa maelezo,salaleeeeeh......nakuta conversation yote kati yangu na jamaa haipo....tafta huku na kule hadi kwenye folders zingine wapi,nikajisemea au jamaa mchawi nini maana nilimwambia nakupeleka police af ghafla SMS znafutika....nkapga u turn kali na kujirudia nilikotoka nkabaki nalaumu hizi simu za tecno,kwakwel Tecno cyo cmu,n vfaa vya mawasiliano vya kutumia ukiwa unajichanga ili kununua cmu