Tecno smartphone...!

Mu7

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
717
1,000
Heshima zenu wakuu. Naomba kufahamishwa na wataalamu wenye kufahamu ubora wa Tecno smartphones. Ni ipi nzuri kwa maana ya specifications na durability isiyozidi 250,000 tshs. Nawasilisha Wakuu.
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,779
2,000
hzo simu hakunaga aisee kwa simu za bei ndogo zenye karibia kila kitu,usisite nenda dukani kapate mzigo wako then ukishaanza kuitumia njoo utoe ushuhuda hapa,mm ninayo p3 sijutii aisee,nainjoi nayo sana,ninayo kama mwezi wa 8 hv sasa na haijawahi kunizingua
 
Luno G

JF-Expert Member
Sep 22, 2012
2,378
2,000
kwa hiyo pesa chukua M5 ni nzuri, kuna P5 nayo ni nzuri pia ila yenyewe ni 170000
 
Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
498
250
Heshima zenu wakuu. Naomba kufahamishwa na wataalamu wenye kufahamu ubora wa Tecno smartphones. Ni ipi nzuri kwa maana ya specifications na durability isiyozidi 250,000 tshs. Nawasilisha Wakuu.

Natumia tecno n7 niliinunua 360k,lakini nakushaur ununue Phantom(tecno A7) ipo vizuri sana,na nadhani bei inaweza kuwa ndani ya uwezo wako
 
Mwembebasha

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
1,425
1,225
hzo simu hakunaga aisee kwa simu za bei ndogo zenye karibia kila kitu,usisite nenda dukani kapate mzigo wako then ukishaanza kuitumia njoo utoe ushuhuda hapa,mm ninayo p3 sijutii aisee,nainjoi nayo sana,ninayo kama mwezi wa 8 hv sasa na haijawahi kunizingua
Hakunaga kama M3 sijutii kuwa mteja wa tecno. Udumu urafiki wa Tanzania na China.... Ila tembo mtuachie aisee
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,779
2,000
Hakunaga kama M3 sijutii kuwa mteja wa tecno. Udumu urafiki wa Tanzania na China.... Ila tembo mtuachie aisee

Hahahahahaaaaaaaaa,halafu wabongo tulivyokuwa mambwiga tukiwakamata tunawachekea tunawarudisha kwao kipoa wakati wao wakiwakamata wabeba boksi wetu nyoka wa kina kinje na rizmoko kama jackline cliff na nguli agness masogange wanawatia ndani kwenye jela zao na adhabu za kunyongwa zitawahusu sana
 
Mwembebasha

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
1,425
1,225
Hahahahahaaaaaaaaa,halafu wabongo tulivyokuwa mambwiga tukiwakamata tunawachekea tunawarudisha kwao kipoa wakati wao wakiwakamata wabeba boksi wetu nyoka wa kina kinje na rizmoko kama jackline cliff na nguli agness masogange wanawatia ndani kwenye jela zao na adhabu za kunyongwa zitawahusu sana
Ndo hivyo mkuu. Huku tunafurahia huduma zao ila wenyewe wana mambo ya ki mbwa sana. Tembo wamapungua sababu ya hawa watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom