maamuzi sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 288
- 165
Mkuu nina tecno c5 nifanyeje iwe inapata updatesmostly zina updates
wengi hawafahamu set auto-updates uone!
yangu ni very Common ilikuwa 4.4.2 imejipeleka 4.4.3--->>4.4.4
pia appl zote zinaji-updates hakuna cha kuniuliza.install now,later or continuous!
ndani ya hilo file ulipofungua umekuta nini na nini? huwa kikawaida apps ambazo zipo cracked zinakuwa na apk na data zake.
1. unatakiwa uinstall hio apk
2. unatakiwa ucopy data ziende folder la android/obb
maelezo zaidi yatakuwa website uliodownloadia hilo file
Unaelewa maana ya updating mkuu???? Hiyo siyo update, hiyo ni issue tu ya kufix bugs na mambo fulani madogo madogo. Kureceive update maana yake simu iwe na uwezo wa kuhama kutoka version moja ya android kwenda version nyingine pindi ikitotoka version mpya kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa tecno kamwe!!!
inaonyesha hvyo
Tecno Confirms Marshmallow Update for Camon C8Ha ha ha kwanza mkuu tecno hata hizo fixing ya bugs awali ilikuwa haipokei, ukipata simu ina matatizo basi hakuna jinsi unakufa nayo.
Lakn habari njema nikuwa tecno C8 kwa mara ya kwanza officially tecno wametangaza kuipa uptodate mwezi ujao ya iyo OS mpya ya android marshmallow kama sikosei.
unamkura mtu ana galaxy pocket lakin anamsimanga mwenye m3 unaumwa na mwenye j1ace asemeje jipangen
Mkuu, vipi kuhusu x-bo v6?vitu vizuri vya hio simu
-ina ram 1gb
-inapokea updates na itaenda windows 10
-bei yake rahisi sana unaipata hadi 150,000 ukiitafuta vizuri.
-ipo smooth muda wote sababu ni windows phone, na itakaa miaka mingi bila kuwa outdated
vitu vibaya vya hiyo simu
-processor yake ni ndogo na haina 4g
-camera yake ni 2mp tu
-baadhi ya games na apps haina sababu inatumia windows phone
ushauri wangu angalia kwanza kama utaipenda windows phone, kama kwako ni ok ni simu nzuri sana hasa kwa budget hio ya 150,000 ikiwa mpya.
ila kama unaweza kuongeza budget around 200,000 hadi 300,000 tafuta simu ya snapdragon 410 utapata simu nzuri yenye 4g, processor nzuri ya 64bit, gpu nzuri, ram kubwa nk mfano wa simu hizo ni kama
-galaxy core prime,
-huawei y550,
-motorola moto E lte,
-xiaomi redmi 2
sijawah isikia hio simu. epuka brand za simu zisizojulikana.Mkuu, vipi kuhusu x-bo v6?
Poa Mkuusijawah isikia hio simu. epuka brand za simu zisizojulikana.
Hiyo note 3 ya bei hiyo iyakua ni copy ya clonePoa Mkuu
Zipo ni simu kubwa mfano wa note 3 zipo sokoni, inakwenda laki na sabini
Poa Mkuu
Zipo ni simu kubwa mfano wa note 3 zipo sokoni, inakwenda laki na sabini
Thanks chief,ila nlkua nakuulza et sim ikikaa mda mref bila kutumika inaharibika?,coz nna mpango wa kwenda boarding simu natak kuiacha nyumbancopy hilo folder la com.theonegames.g kwenda android then obb halafu lipaste hapo then install apk yako (nafkiri hio iliondikwa mod ndio ina cheat) then utaona game linaanza bila kudownload data
Kusema ukweli TecNo kwa hii canon c8 wamejitahid sanaaaMimi natumia tecno camon c8 mbn sijaona tatizo. Nasubir update ya marshmallow ifikapo Februari 2016