Tecno sasa inapokea Updates

Humu Jf bhana yaani ni raha kweli....adanganywi mtu aiseee..
 
Kwakweli tecno sio stable nilikuwq nambishia Chief mkwawa ila atleast kila simu mmoja ya tecno niliotumia nilipata kikwazo kimoja bila kujali ukubwa au udogo wake. Ubora bado tecno
 

Nadhani hapo kwenye 4g unapotosha watu...mie natumia techno C5 na inashika 4g kama kawaida...
 
Nadhani hapo kwenye 4g unapotosha watu...mie natumia techno C5 na inashika 4g kama kawaida...
band gani? hakuna aliekataa haina 4g ila hizo band zake ni useless kwetu. unatumia c5 na mtandao gani? tuekee na screenshot
 
Pole mkuu ila mm binafsi sijawahi kutumia tecno, nina kasamsung kangu laki 2 na nusu lakini kazuri kuliko hiyo tecno yako la laki 3
 
Last edited by a moderator:
@Chief-Mkwawa sorry natumia sumsung Grand prime ina android version 4.4.4 Kitkat but nataka kuiupdate iende kwenye lollipop ila sijui jinsi ya ku update, naomba unielekeze Jinsi ya ku update kama hutojari.
Je mimi hii samsung yangu naweza kuiupdate?
 

Attachments

  • 1451598686182.jpg
    11.8 KB · Views: 55
band gani? hakuna aliekataa haina 4g ila hizo band zake ni useless kwetu. unatumia c5 na mtandao gani? tuekee na screenshot

Chief Mkwawa usiwe mbishi muda wote kama haujafanya tafiti ya kutosha....ngoja niambatanishe vitu unavyotaka nafsi yako ilidhike.
Hiyo hapo chini ni video am watching online using Tigo internet kwa kutumia simu ya Techno C5 na ukiangalia utaona sign ya 4g kwenye network bars
 

Attachments

  • 1451828900563.jpg
    25.5 KB · Views: 56
  • 1451829012215.jpg
    40.2 KB · Views: 56
Attachment nyingine hii hapa
 

Attachments

  • 1451829079285.jpg
    22.5 KB · Views: 61
Simtaalamu wa haya mambo lakini nimejaribu
 

Attachments

  • 1451833411700.jpg
    56.4 KB · Views: 55
  • 1451833457937.jpg
    56.3 KB · Views: 55
  • 1451833510093.jpg
    41.4 KB · Views: 55
Simtaalamu wa haya mambo lakini nimejaribu
seems upo sahihi, unatumia 4g lakini kwenye suala la band bado nipo gizani na hata lte discovery inaonesha band ni unknown.
1. inawezekana tigo wana band tofauti na 800.
2. specs zilizotolewa na tecno ni za uongo.
3. kuna variety mbili za tecno c5.

sababu wakati inatoka thread yake ililetwa hapa na tukahakikisha haina band 800, na sio mimi tu walikuwa watu wengi walihakikisha

Tecno C5 4G Smartphone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
 
Chief Mkwawa Mwenyezi Mungu Inshaallah akupe maisha marefu na akuongezee uvumilivu katika jukwaa hili utusaidie na upata nguvu za ku deal na wazushi bila kuchoka!
 
Mkuu Chief Mkwawa, asante kwa updates zako. Mimi natumia simu ya Micromax Canvas Gold A300,tatizo ninalopata ni kwamba,muda wote inaniambia memory is full na siwezi ku-download any apps, wakati ina 25GB internal memory. Sijui Unawezaje kuunganisha RAM na hyo 25GB ili niweze kudownload more apps.
 

nenda setting then storage iache iload then itakuonyesha mchanganuo wa jinsi storage ilivyotumika.

maybe kuna storage ya apps na media za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…