Tecno sasa inapokea Updates

Tecno sasa inapokea Updates

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,267
Reaction score
5,854
Kwa wale waliokuwa wanaibeza tecno kwamba ukinunua umenunua uwezi pata Uptodates hii ni habari mbaya kwenu maana mmepunguza point moja ya kubeza.

Tecno C8 tangu niinunue imepata OTA uptodate mara mbili, huku ikija na fix bugs kadhaa, uptodate ya mwisho nimeipata leo.

Ambapo uptodate ya leo imeongeza option ya prefered network option na mnara ulikuwa kwenye rollipop ukisoma 3G muda wote ambapo ilisemekana ni katika ku optimize matumizi ya bettery lkn sasa unaweza chagua na ukaona H, H+

Ilkuja na version 5.0 lkn sasa ime upgrade to 5.2

Hope tutafika. Nasikia Phantom 5 pia ni balaa.
 
Good News
 
wana kazi kubwa
 
TECNO ipo gud bt tatizo n update m nackia for Dat first time kutoka kwako bt cyo tecno zte cna upda
 
mostly zina updates
wengi hawafahamu set auto-updates uone!
yangu ni very Common ilikuwa 4.4.2 imejipeleka 4.4.3--->>4.4.4
pia appl zote zinaji-updates hakuna cha kuniuliza.install now,later or continuous!
 
Tecno itabaki kuwa simu ya ninayoichukia ngoja tuwsachie wanafunzi tu cwez tumia hata iphone 6 yangu izime hapa saa hii ntarudi kitocho hadi ninunie apple
Sifa za kijinga, wenda hata iyo iphone 6 unaiona kwenye picha tu.

Kwan unapata nn kwenye iphone 6 ambacho mimi mwenye tecno sipati? Sifa za kijinga.
 
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.

Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?

Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka

Na kufix hizo bugs imefix nini?

Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
 
Mimi pia tecno C8 yangu kwa mara ya pili leo nimepata update. Ambayo imekuja na badiliko la H+ tofauti na mwanzo ilikuwa na 3G tu.
Version ni 5.0.2 sio 5.2.
 
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.

Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?

Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka

Na kufix hizo bugs imefix nini?

Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?

Mtoa mada amemaanisha 5.0.2
 
Mimi pia tecno C8 yangu kwa mara ya pili leo nimepata update. Ambayo imekuja na badiliko la H tofauti na mwanzo ilikuwa na 3G tu.
Version ni 5.0.2 sio 5.2.
3g Ni generation na ndani yake kuna ( wcdma, hspa, hspa plus ), hivyo h na h+ Ni technology ambazo zipo ndani ya 3g hivyo hio update lengo lake Ni kurename tu Hilo neno 3g kuja h na h ILA kitu Ni kile kile

Even tecno ya bei rahisi Ina h+
 
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.

Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?

Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka

Na kufix hizo bugs imefix nini?

Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?

nadhani kachanganya fugures kidogo ni android 5.02
 
Hio ndio version ya mwanzo ya lolipop. Kama upo lolipop na ukapata lolipop ilitakiwa iwe 5.1 ambayo Ni refresh ya lolipop kabla kuja 6

1446809437432.jpg uptodate ya awali na bugs walizo fix
1446809503735.jpg ya pili na bugs walizo fix
1446809544480.jpg
Ili pop up automatic kuwa kuna uptodates
 
Attachments

  • 1446809574090.jpg
    1446809574090.jpg
    40.9 KB · Views: 556
  • 1446809625913.jpg
    1446809625913.jpg
    33.7 KB · Views: 548
Back
Top Bottom