Tecno s3

Tecno s3

Pendesha

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
99
Reaction score
60
Heri ya mwaka mpya wadau naomba kujua sehemu inapo patikana draft ya message kwenye hyo tecno, maana naana message zinajisave af sizioni
 
Huku sio mahali pa kuuliza hilo swali anyway ikikuambia msg saved in draft inamaana ile msg haijotumwa iko kwenye sms writting field ya huyu mtu uliekuwa unataka kumtumia so ukifungua sehem msg alafu fungua convetsation ya namba husika utaikuta ile msg kwenye typing field so unaweza uka edit or send
 
Back
Top Bottom