N NYAGI DRY JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 419 Reaction score 219 Jun 26, 2013 #1 Nataka kujua kama kuna mtu anatumia tecno q1, anipe detailz zake, imean ukaaji wa chaji, jinsi anavyo iona as a smart phone, je kama inasumbua kitu, coz iwant to for that soon wajamen,,,,,,, detaiz please
Nataka kujua kama kuna mtu anatumia tecno q1, anipe detailz zake, imean ukaaji wa chaji, jinsi anavyo iona as a smart phone, je kama inasumbua kitu, coz iwant to for that soon wajamen,,,,,,, detaiz please
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,967 Reaction score 9,544 Jun 26, 2013 #2 Chukua F7 ni noma, na kwa hii F7 Tecno wamemaliza kazi kabisa
ZENITH JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 1,064 Reaction score 991 Jun 26, 2013 #3 Chasha said: Chukua F7 ni noma, na kwa hii F7 Tecno wamemaliza kazi kabisa Click to expand... Tatizo bei ndo balaa.
Chasha said: Chukua F7 ni noma, na kwa hii F7 Tecno wamemaliza kazi kabisa Click to expand... Tatizo bei ndo balaa.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,917 Reaction score 7,124 Jun 26, 2013 #4 Chasha said: Chukua F7 ni noma, na kwa hii F7 Tecno wamemaliza kazi kabisa Click to expand... F7 Zshafika k.koo. na ni shs ngapi.
Chasha said: Chukua F7 ni noma, na kwa hii F7 Tecno wamemaliza kazi kabisa Click to expand... F7 Zshafika k.koo. na ni shs ngapi.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,967 Reaction score 9,544 Jun 26, 2013 #5 Msarendo said: F7 Zshafika k.koo. na ni shs ngapi. Click to expand... Mkuu kwa Dar nasikia bado Ila kwa Arusha zipo make si unajua TECNO wanakituo chao Nairobi Kenya? Arusha zipo na zinaenda 400
Msarendo said: F7 Zshafika k.koo. na ni shs ngapi. Click to expand... Mkuu kwa Dar nasikia bado Ila kwa Arusha zipo make si unajua TECNO wanakituo chao Nairobi Kenya? Arusha zipo na zinaenda 400
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 Jun 26, 2013 #6 ninatumia hiyo simu pitia huu uzi hapa utakuta baadhi ya taarifa https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=451460
ninatumia hiyo simu pitia huu uzi hapa utakuta baadhi ya taarifa https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=451460