TECNO Q1(Android)

TECNO Q1(Android)

Unannounce maanake bado kutangazwa au kutoka.Ila inafaa kama specification ni ya kweli hasa internal memory ya 4GB

imeshatoka kaka nimeiona town, sema bado hazipo nyingi
 
twambie mkuu iyo yako ina doc viewer na pdf reader? Bei yake n ngapi na inapatkana wapi?

doc viewer ipo kama unavyoona kwenye specifications zake, kuhusu pdf reader sina uhakika ila nadhani sababu ni android unaweza ukanunua kwenye market
 
hawa wachina cjawahi wakubali.....ngoja niendelee kudunda na samsung yangu na jf android app

unavyosema mchina unamaanisha nini maana kuna smartphones nyingi zenye majina makubwa zinatoka chinamfano mzuri ni htc, kuhusu jf app for android hata huku unaweza ipata
 
Hawa Tecno walete tablet bana..najua itakuwa poa sana...
 
Back
Top Bottom