Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hivi mpaka unaweka comparison ulijiuliza kwann Haipo hata Gsmarena... Tecno zinatumika africa zaidi kwahiyo ni cheap with low quality
Nani alishafanya comparison kama yako duniani? We ndo wa kwanza
Sema mimi sina hela si watu hawana hela na eti wanazichezea...compare na IPhone 5 basi
Na kubaliana na aliyecomment wa kwanza
Hitimisho:
Nikitakiwa leo kununua simu, basi nitanunua Tecno Phantom A. Hii ni kwa sababu inafanya vitu vyote ambavyo Samsung Galaxy S4 inafanya. Pia inapatikana kwa bei ndogo na inaruhusu kuweka line 2 kwa wakati mmoja.
Kwa mtazamo wangu, kumiliki Samsung Galaxy S4 ni sawa na kuchezea hela. Labda kwa wale ndugu zangu akina Ngosha na Wahaya ambao kuwa na kitu cha gharama kunamaanisha High Status, hawa inawafaa hii Samsung Galaxy S4!
Nawasilisha.
[/FONT][/SIZE]
Haaaa! haaaa! I am so much proud to be the first to compare the two Mobile Phones.
I do this because I don't want to be blinded by the Brand Names and Popularity!!!!!!
Muandishi wa mada kaishadadia tecno japo kakubali samsung imeizidi kwa kila kitu...
Kama ukiamua kuwa na simu basi kuwa na as best as you can have. Yani nnaposikia high end phone ina kioo tft akili yangu uwa inaruka kuwa ni ya kichina tu.
Sisi uwa tunaangalia gharama nafuu bila kuangalia vitu vingine. Tena siku watu wanasema hawanunui majina. Ila tuache ushabiki, unapoamua kununua kitu lets say pesa unayo ya kutosha kununua chochote majina uwa yana matter,
HAHAHA ETI INAFANYA VITU VYOTE AMBAVYO SAMSUNG GALAXY S4 INAFANYA
13M.P ni sawa na 5M.P
Resolution umeangalia kweli?
Tumia hata Google basi hapo kwenye RED
Compare Tecno Phantom A Plus and Samsung Galaxy S IV | 91mobiles.com
Haaaa! haaaa! I am so much proud to be the first to compare the two Mobile Phones.
I do this because I don't want to be blinded by the Brand Names and Popularity!!!!!!
Usitukuze Uzungu na kudharau U-afrika!
Acha ujinga huo, tangu lini s4 ukaipambanisha na phantom A? Umetumwa na tecno kupigia promo? Labda pambanisha tecno yako hiyo na huawei y300 hapo ntakuelewa
Dah wametusaidia sana c akina kayumba agalau tunaenjoy ulimwengu wa digital wanayo phatom check specification zake
Huwezi fananisha s4 na tecno bado wapo chini kiaina:thumbup
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na maswali mengi, ubishani na maneno kwamba Tecno Phantom A na Samsung Galaxy S4 zinafanana na zina uwezo sawa.
.kama tecno ni zaidi ingekuwa imepenya ulaya na marekani. Ukiangalia soko kubwa la tecno ni india na africa na huko asia. Wanana in common watu hawa?
.
<?Nitengeze kitu kwaajili ya kuuza Tanzania.....
Kitapenyaje sasa ulaya
.
Tecno wame invest kwa nchi masikini huku afrika....
.
Waliachana na soko la india....
Wakaona wa base afrika pekee?>
.