Tecno P5 yaaaani!

Tecno P5 yaaaani!

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Natumia Techno P5 inaniambia kuna virusi nami ninahitaji kuondoa nifanyeje?
afu inaasema android iko slow naomba msaada kwa anayeweza nisaidia kuinusuru P5 yaaaaani!
 
Hamna virus wala nini...hizo ni adds tu watu wanataka kuuza applications
 
Hata samsung galaxy wanasema hivo.
Fuata ushauri wa Inkoskaz hapo juu
 
wajinga sana hawa waliotayarisha matangazo ya biashara kama haya. wanawatisha watu tuuuu. mie naulizwa na watu kibao kuhusu tangazo hilo. jamaa kweli ni wasaniii
 
Ukiitafakari hiyo add utangundua ni swali linalotaka jibu. Add inauliza "Your phone is infected with virus?"
 
As a general rule, usitumie simu bila ya kuwa na Antivirus. Ziko nyingi ambazo no free
 
hapa naisi na kikristu ni tatizo namba moja pamoja na a lama za lugha kma !"'::;/? bdo shida.uwage makini sana kusoma matangazo ya android.ucjeingia chaka ukaua kmeo kbisa
 
waongo tu hao.ukiangalia wameandika kwa mfumo wa swali."1 virus detected? get your free antivirus now" watu wakokibiashara hapo
 
Hakuna aunt virus ambayo inafanya kazi
Kiukweli katika sim huwa zina kaa kama
Pambo tuu

Sio kweli. me natumia Avast ipo vzr sana. mtu akinirushia file au nikidonload lenye virus inatoa alert na kujitaka nilidelete. Zipo ambazo zinafanya kazi fresh
 
Chukua avganti virus and mobile security kwangu mimi hii iko vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom