tecno huwa unatoa simu kwa matoleo mawili mfano MTK na SPD hivyo MTK huwa na uwezo kuliko SPD angalia vizuri simu yako itakuwa ni tecno H5 nasio P5 na katika H5 kuna SPD na MTK, Tecno H5 SPD huwa na space ndogo ya application na pia haina internal memory hivyo mpaka uweke memory kadi na network yake ni 2g ila Tecno H5 MTK huwa na 3g network na huwa na space kubwa na apps na inauwezo wa ndani yaan internal memory 2gb