Sababu nyepesi sana hiyo kama mmiliki akiwa mnigeria haruhusiwi kuuza bidhaa zake nje ya bara lake? [emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️Kwa sababu ya mmiliki ni Mnigeria
lazima uisifie tecno maana hujawahi kumiliki simu tofauti na tecno, miaka 5 ukitumia tecno utakuwa umefunga ndoa kabisa kwa hiyo endelea kuisifia maana huna namna nyingine.Wale wanaoibeza na kusema Tecno sio simu nzuri nafikiri hawazijui.
Kwa mwaka wa tano sasa natumia TECNO sijaona tatizo lolote. Kazi zinapiga fresh. Design, na mengine kibao