Wakuu,hii tecno yangu nikmpigia mtu siwezi kumsikia mpaka niweke loud speaker,na mtu akinipigia the same mpaka niweke loud speaker,hebu nijuzeni tatizo liko wapi maana mwanzoni ilikua inafanya kazi vizuri,sasa hili tatizo limeanza hivi majuzi.
kama upo DAR wapelekee wale customer care wao waitwao carlcare wapo msimbazi opposite na police station ya msimbazi. watakufanyia bure na ni tatizo dogo tu hilo.
kama upo DAR wapelekee wale customer care wao waitwao carlcare wapo msimbazi opposite na police station ya msimbazi. watakufanyia bure na ni tatizo dogo tu hilo.