Jamani wadau naomba msaada mimi natumia Tecno N 7 shida niliyonayo ni kuwa nashindwa kuangalia video katika You Tube..nikifungua you tube napata ujumbe kuwa
"This app won't run without google play service which are missing from your phone"
Nikidownload hiyo google play service ikimaliza mpaka mwisho wakatu wa kui store inaleta ujumbe kuwa
"Incompatible with other application using the same shared user ID"
Naomba msaada kwenu wadau..Thanks
Simu zote za androd ua zinakuja na google play service ila watu wengi huitoa kwa kuona haina kazi bali kujaza nafasi, kama umfnya ivo imeshindikana option ya hapo ni kui restore ili simu yako ianze upya.. aksante.
Haina haja ya kufanya restore mkuu. Version mpya ya Youtube inahitaji google play services ili ifanye kazi vizuri. Download latest version yake kutoka playstore.
Kaka hii nilisha jarib ikashindikana
Tatizo lilianzaje mkuu?
uli uninstall google play service?
Haina haja ya kufanya restore mkuu. Version mpya ya Youtube inahitaji google play services ili ifanye kazi vizuri. Download latest version yake kutoka playstore.