Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa
Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa
waungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000
Mimi naomba msaada wa kuondoa starterup tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele.
nunua tecno M5. hiyo ni mwisho wa matatizo. ipo powa sana. maduka mengi wanauza 260 lakini naweza kukufanyia mpango ukaipata kwa 210 kwa washkaji wauzaji wa jumla. ukiwa tayari ni PMwaungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000
Mimi naomba msaada wa kuondoa starterup tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele.
waungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000
Wewe kama unachuki na tecno labda, lakini tecno zipo vizuri kuliko unavo dhani aisee.Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa
waungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000
Nenda kwenye maduka ya tecno zipo hadi za elfu 20
Wewe kama unachuki na tecno labda, lakini tecno zipo vizuri kuliko unavo dhani aisee.
nunua tecno M5. hiyo ni mwisho wa matatizo. ipo powa sana. maduka mengi wanauza 260 lakini naweza kukufanyia mpango ukaipata kwa 210 kwa washkaji wauzaji wa jumla. ukiwa tayari ni PM
Nununua tecno P5
Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa
wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..
mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.