Tecno mobile Mega Thread

Ninatumia L3 nimeifurahia sana. Na nataka nichukue p9 au n9 tablet

Mkuu nadhani wee ni Muumini wa TECHNO hebu nisaidie maelezo yakutosha khs MIN PAD ya TECHNO Uzuri na Ubaya wake nifanye maamuzi Watu humu tunatofautiana Pumzi ya Mfuko mi cdhani kuna mtu kutumia kitu cha Gharama..! Niliwahi kutolea mfano wa Pikix2 zamani ilikuwa ni Mwendo wa BAJA na kila aliekuwa nayo aliheshimika Kitaa bt nw Kila mtu anamiliki ni Kweli ubora utotafautiana bt Huduma ni ileile..!
 


PAD mini , ina sifa zifuatazo:

1. Single line
2.3G
3.dual camera back camera 5Mp
4.dual speakers
5. 7 inches
6. RAM 1 GB
7. Processor 1.2 Quadcore
8. Inakuja na plastic cover
9. G sensor, Proximity sensor na light sensor
 
PAD mini , ina sifa zifuatazo:

1. Single line
2.3G
3.dual camera back camera 5Mp
4.dual speakers
5. 7 inches
6. RAM 1 GB
7. Processor 1.2 Quadcore
8. Inakuja na plastic cover
9. G sensor, Proximity sensor na light sensor

Asante kwa maelezo ndg,,! Swali la mwisho unadhani hiyo MIN PAD na P9 ipi inapiga kz bila zengwe..! Naulizia ili nipate ufahamu wahiyo kitu then ntachanganya na Zangu...!
 
Asante kwa maelezo ndg,,! Swali la mwisho unadhani hiyo MIN PAD na P9 ipi inapiga kz bila zengwe..! Naulizia ili nipate ufahamu wahiyo kitu then ntachanganya na Zangu...!


inapiga kazi fresh, internet ina speed ya kutosha, sound iko fresh, camera nzuri. tatizo tu ni pale unapoitumia kama simu mahali penye mikusanyiko ya watu kama vile kwenye daladala kila mtu lazima akuangalie kuanzia juu hadi chini.

hivyo kama ni mtu mwenye aibu utakuwa unapotezea simu zingine
 
Tecno ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini na wasio na matumizi makubwa ya simu,lakini bado Tecno hawajafikia viwango vya akina Samsung,htc,lg na hata lenovo
 
natumia tecno m3 lakin nimeichoka kwa kweli bt haina shida
 
Tecno ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini na wasio na matumizi makubwa ya simu,lakini bado Tecno hawajafikia viwango vya akina Samsung,htc,lg na hata lenovo

ayaaaaaaa umenikumbusha LG yangu jaman nilitaman niloge aliyeiba
 
Atakaye/anaye pinga mjadala wa mtoa mada hapo juu simshangai,kwani atakuwa na sababu zifuatazo:-
1.atakuwa na wivu/roho mbaya(hataki wengine wawe na simu yenye uwezo kama yake kwa bei rahisi kwa sababu yeye kanunu bei kubwa)
2.Ushamba(kutaka kumiliki simu yenye vitu ambavyo kikawaida hana matumizi navyo)
3.Ubishi (anatambua kuwa alikurupuka kununua simu ya bei ghali, ila hataki kuuzia wajinga wenzie ili anunue tecno na hela nyingine anunulie vocha za mwaka mzima ila mbishi)
Nb:bila hii tecno m3 nisingeweza kupost huu ukweli.
 

Na hicho ndicho kinachowafunga wengi. Hawataki ukweli .., ila muda ndo utakaowaambia.....
 
nataka kununua smartphone kama laki nne hvi,nilifikiria tecno p7,,,inabidi nikasome makala za chief mkwawa halafu nifanye mamuzi
 
Nimepiga picha hii kwa Tecno P5 tena built in camera and software sihitaji 360 camera yaani jamaa wamebamba
 

Attachments

  • 1403640782576.jpg
    94.5 KB · Views: 161
  • 1403640805253.jpg
    44.4 KB · Views: 142
  • 1403640864855.jpg
    42.6 KB · Views: 134
  • 1403640903144.jpg
    108.3 KB · Views: 125
  • 1403640974337.jpg
    94.7 KB · Views: 127
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…