Tecno m5

KUN

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
383
Reaction score
80
Wakuu ninatumia simu aina ya Tecno M5 ila imekuwa ukisumbua kwenye battery, haikai na chaji kwa mda mrefu maximum 1.5 days! Nimejaribu kutafuta beattery kwenye maduka lakini sijafanikiwa kupata, kwayeyote anayejua wapi naweza pata battery kwa hapa Dar es Slaam naomba anielekeze.

Asante sana.
 
mkuu siku moja na nusu? Mimi yangu kila siku jioni lazima niicharge
 
Hiyo ni kawaida kama unatumia internet pia hizo Techno za Android hawajafanikiwa katika betri.
 
mbona raaaaaaaaha wewe tulia wengine kila siku????
 
unaweza post details za battery? kama ni copy and paste ya kampuni nyengine naweza kukusaidia aina ya extended batteries.
 
Mkuu hongera sana yako inakaa masaa 36, mimi ninacharge kila siku jioni kama vipi tubadilishane.
 
Hiyo kawaida sana kwa hizo operating system! Kupunguza labda washa internet tu pale unapohitaji kuitumia.
 
Hiyo kawaida sana kwa hizo operating system! Kupunguza labda washa internet tu pale unapohitaji kuitumia.

Atoe 3G na kuweka 4G au edge tu, Unless akitaka kusurf faster na hakuna 4G basi unaswitch to 3G ukimaliza unaitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…