Tecno m3 kukataa kuwaka

Tecno m3 kukataa kuwaka

JBK

Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
68
Reaction score
13
jamani habari za muda huu ndugu zangu.....Nina tatizo nina simu yangu ya tecno m 3 imekataa kuwaka tangu jana inawaka lakini inaishia kutoa jina LA tecno tu.....pasipo kuwaka kabisa tafadhari naombeni msaada wenu kwa hilo......
 
huwa zina stuck sana toa betri na uweke tena kisha itawaka
 
Pia jaribu kutoa na memory au hiyo betri i chaji kwanza kwenye kobe pengine power yake ipo chini sana.
 
Back
Top Bottom