Isije ikawa ni ndugu zake bruce lee mkuu ndio waliotengeneza, ikague vizuri tu mkuu utapata jibu, ni vizuri kununua kwa wakala ili iwe rahisi kumrudishia na mara nyingi mawakala wakikuuzia kitu receipt inaandikwa mpaka namba za IMEI hivyo hawawezi kusema kwamba hiyo sio simu tuliyokuuzia
WANA JF..
Leo nimeenda kumnunulia tecno h6 wifi(shemej) yenu,nlvutiwa na simu kwasabu iliandkwa specs zake ni 8GB(ROM),1GB(RAM)..
Lakin nlpofka nyumbn na kuiwasha nkakuta kama ifuatavyo