Asante mkuu, Speed ya internet ni nzuri tu kama mwanzo, tatizo ilikua inaonyesha h na h+ lakn wiki hizi mbili imeganda kwenye 3G na E pekeemkuu h na h+ na 3g zote kwa pamoja ni 3g cha muhimu ni speed tu. mtandao unaweza kukuandikia 3g na ukakupa speed ya H. cha muhimu unapata speed gani? download speedtest toka playstore halafu pima speed yako ujiridhishe