Carl care wahuni tu hawana lolote,mi nlinunua Tecno H6 kama miez miwili,wakanambia ina waranty mwaka,hata wiki haijaisha button ya kuzimia na kuwashia ikachomoka.Nikawapelekea wakanambia eti simu bado mpya hawana spea so hawana cha kunisaidia!!Labda nenda tu kajaribu.Ila nlikoma,hzi simu kweli zina specs nzuri lakini nadhan wanatumia material cheap ambayo sio imara.