HABARI ZA LEO , Ndugu zangu ninaomba msaada simu yangu ya tecno h5 imenigomea baada ya kuiwipe data na cache yaani inawaka alafu kwenye skrini haioneshi kitu ni mwanga tu ndo upo alafu kuna mstari wa bluu kwa juu sasa nifanyaje msaada ndugu zangu
Hizi tecno sasa hivi zimechakachuliwa nini!naona malalamiko ya watumiaji yamekuwa mengi sana.
Mi ya kwangu c8 what's up SMS haziingii kwa wakati mpaka use online muda wote
Ant tecno
nimewipe cache na nikareset data
flash stock rom tu hapo.
Inakuwaje iyo
Ah kk tuhurumiane .mm BRN ivo vitu nilisoma ila naogopa kuua cmnenda google soma how to use sp flash tool kisha ukishaelewa jinsi ya kuflash ndo uje hapa tukupe stock rom.
Ah kk tuhurumiane .mm BRN ivo vitu nilisoma ila naogopa kuua cm
Ila sikuelewa.naomba unielezee tu.iyo inafanyaje kazi kwenye cm