Tecno featuring Samsung

sijakuelewa au unamaanisha siku moja kwa ajili ya techno na nyingine kwa samsung@mshana majibu.....please
 
sijakuelewa au unamaanisha siku moja kwa ajili ya techno na nyingine kwa samsung@mshana majibu.....please
Kwa mfano Diamond akitoa single yake halafu akaamua kumshirikisha Kiba ili kunogesha ngoma hiyo inaitwa featuring au collaboration (collabo)
Sasa hapa Tecno kaamua kunogesha simu yake kwa kuweka shell ya techno lakini mashine ya Samsung [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…