Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,573
- 1,785
Vipi durability yake au ndo yale yale ya Huawei u8560 ?
Kama Nigeria zinauzwa kwa Naira 19,500 ambayo ni sawa na T sh. 197,000, iweje mtake 400,000-500,000? Huo ni wizi.
Nimekuta Tanga tecno Fantom Lakia4
"Vox populi vox dei"
kenya ni 17000 ikiiconvert kibongobongo ni 342,000