Tecno CM 350000/= simu ndogo zinaanzia 19000 tu

Tecno CM 350000/= simu ndogo zinaanzia 19000 tu

b7df20e9cf0a4a6227dc0cede79a3002.jpg

Simu ndogo 19000 Inakaa na chaji sana
Nimekapenda ako kadogo,,,tatizo Tanga mbali
 
Hamna gharama za usafiri? Ni cha laini ngapi iko kisimu kidogo mkuu
Sasa hapa inategemea mkuu, kwa hii ndogo
Seriously nanunua 18000 nauza 19000. Sijui ata nifanyeje mkuu
 
Sasa hapa inategemea mkuu, kwa hii ndogo
Seriously nanunua 18000 nauza 19000. Sijui ata nifanyeje mkuu
Inabidi uhainishe kama kuna gharama za usafiri kumpa ela dereva au La vip, ,
 
Kwenye maisha yangu nimeshanunua na kutumia simu mbili za tecno,nilichojifunza ni kuwa simu za tecno zinatabia ya kuganda ganda screen pale memory yake ikiwa inavitu vingi,pia huwa zinapata moto sana.Toka hapo nikasem sitokuja kununua tena bidhaa za simu ya tecno hadi pale watakapo boresha simu zao kuwa na vingo vizuri
 
cb17bc5a2fe9b4ccc86c3df3ee3b7ec4.jpg

61da0bddb4e4da41ed972edf1fb1c3dc.jpg

Kinokia hicho 40000
 
Back
Top Bottom