TECNO CAMON C9 yaingia sokoni kwa kishindo

C9 I ni kama c8 tuu imetofautiana vitu vichache kikubwa ni camera na iyi androud version
 
VP kuhusu W4 nataka kununua VP iko poa wakuu Mimi uongo dhambi ninazipenda sana tecno tangu nianze kutumia p3 kipindi kile hadi Leo sijawai jutia kuchagua tecno
 
VP kuhusu W4 nataka kununua VP iko poa wakuu Mimi uongo dhambi ninazipenda sana tecno tangu nianze kutumia p3 kipindi kile hadi Leo sijawai jutia kuchagua tecno

Kumbe unazipenda na ndio simu zako, wewe kanunue tu
 
USHUHUDA: Mimi mentor nashuhudia kununua simu yangu kutoka kwa huyu jamaa (ana sauti ya kichaga ingawa simjui jina bado) aliyesema anauza 350,000/- na nimeipokea mchana huu.

Iko poa...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ