TECNO CAMON C9 yaingia sokoni kwa kishindo

Naendelea kufuatilia dharau za baadhi ya watanzania wenzetu humu.
Hata mimi mkuu nawashangaa wanaodharau techno.wanasahau hata Samsung ilikua inadharaurika sana enzi zile wakati Nokia ilivyokua juu....Na Motorola....watu wanasahau kua kinachomata ni descent smartphone ya bei nafuu ambayo inauwezo waku process vitu kama email....Ku run Proffessional applications...kulingana Na taluuma ya MTU husika...

IPhone ni simu nzuri sana.mbona watu wengi hawazinunui......pamoja Na uzuri wake....ishu ni prices alafu sio user friendly.... Mwanzoni Samsung walikua walikua wanatengeneza simu za laini moja.sasa hivi baada yq kusoma soko.wanatengeneza simu ya laini mbili...Na hii ni baada ya tecno kuanza kutengeneza simu ya laini mbili... Binafsi nilianza Na motorolla..nikaja Nokia...nikaja Samsung.sasa hivi nipo tecno...why kwasababu ni user friendly Na INA laini mbili...Na uwezo wa kukaa Na chaji ukili ganisha Na Samsung.....
 
Wabongo bwana!!!...eti kwenye simu wanajifanya hawataki mchina(Tecno)halafu ukimchunguza vizuri utakuta vitu anavyotumia nyumbani kwake ni singsung,zec,sansan,starx...etc
 
Sifa ya kipekee ya simu hiyo ni kamera? Maana hazijaelezwa sifa zake zingine ili kunipa sababu ya kuinunua.
 
Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia Tecno ni simu ya kununua wakati wa mapito mfano kama simu yako imeibwa, imepotea au imeharibika wakati ambao hujajipanga vizuri kununua simu nyingine๐Ÿ™„
Ni kweli.
 
Mkuu umenikumbusha mwaka juzi nilimtumia mama zawadi ya S4 ili irahisishe mawasiliano yangu nayeye hasa whatsapp calling au imo maana kupiga simu tz ilikuwa inani cost sana. Alichofanya ni kwamba aliichukua akampa dogo mmoja wa jirani aliyekuwa secondary akampa nokia ya tochi. Sababu eti inamsumbua maana haoni namba wala hawezi kusoma meseji.
 
Hapo hamna kipya kilichoongezeka hapo ndio maana hyo Camera mnaitangaza sana
 
Sometimes tunatakiwa tuwe waumini wa falsafa ya "less more" kwenye situation kama hizi kwa kuangalia mtumiaji
 
Sifa ya kipekee ya simu hiyo ni kamera? Maana hazijaelezwa sifa zake zingine ili kunipa sababu ya kuinunua.
13mp front camera sio kitu cha kawaida kama ni mfuatiliaji wa cm utaligundua hili...

Kikubwa zaid kwenye C9

13mpixels front camera
6.0 Android mash.

Basi.
 
Mi ninayo, camera safii, charge inakaa siku nzima hata sitembei na charger, speed kama kawa LTE..nitake nini tena, sinunui simu kufuata majina, I tried LG onetime nikaijutia sana hela yangu. Go Tecno..
 
simu inaonekana nzuri tatizo ni jina limekaa Kichina china making some to shun away from the brand. Kila la kheri TECNOLOGY
 
TECNO Mobile , isije kuwa kama c8 maana najutia kwanini nilinunua.. all in all TECNO is the best.
Mkuu samahani, ni the best kwako pekee.Ungejua hiyo brand hata China wenyewe hawaipendi wanapenda iPhone, sasa we ubest wake ni kwenye ubora au bei mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ