Isubiri itatoka officially tar15 next monthHivii wadau ilii kuwekaa hiyoo HIOS lazimaa utoe data zakooo kwa cm???
Hizo ahadi hewa zimeshanikatisha tamaa, Now nime root C8 yangu na enjoy tu.Isubiri itatoka officially tar15 next month
Sorry mkuu, Unaweza nijuza ni nn ambacho una enjoy baada ya kuroot simu yako? Ni mabadiliko gani ambayo yanatokeaHizo ahadi hewa zimeshanikatisha tamaa, Now nime root C8 yangu na enjoy tu.
Uki root simu mabadiliko hayaji yenyewe bali wewe ndio unakuwa kiongozi wa simu yako. Inategemea utapenda simu yako iwena kitu gani na isiwe na kitu gani wewe ndie unakuwa muamuzi.Sorry mkuu, Unaweza nijuza ni nn ambacho una enjoy baada ya kuroot simu yako? Ni mabadiliko gani ambayo yanatokea
Pamoja mkuuUki root simu mabadiliko hayaji yenyewe bali wewe ndio unakuwa kiongozi wa simu yako. Inategemea utapenda simu yako iwena kitu gani na isiwe na kitu gani wewe ndie unakuwa muamuzi.
Also simu imekuwa faster ku respond any task ninayo open
Mkuu nisadie nataka niweke shady contact kwenye my phone c8 nimeroot lkn bado mambo magumu mkuu!,pia hiyo font nimejalibu but mambo magum can you help me plzzUki root simu mabadiliko hayaji yenyewe bali wewe ndio unakuwa kiongozi wa simu yako. Inategemea utapenda simu yako iwena kitu gani na isiwe na kitu gani wewe ndie unakuwa muamuzi.
Also simu imekuwa faster ku respond any task ninayo open
Font nenda playstore pakuwa app inaitwa ifontMkuu nisadie nataka niweke shady contact kwenye my phone c8 nimeroot lkn bado mambo magumu mkuu!,pia hiyo font nimejalibu but mambo magum can you help me plzz
Nimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuuPamoja mkuu
Shukrani mkuu nitafanya hivoUlitumia app gani ku root hiyo simu.
Hiyo App kama ungetumia kingroot v4.8.0 hiyo icon app inaitwa Purify.
Ni version ya kingereza zamani ilikuwa kichina tu kama hiyo yako.
Dawnload Aptoide then update hiyo kingroot itakuwa english version.
Finally nimeweka android 6 kwenye tecno C8
Ni taarifa nzuri ila ungesema kwa faida ya thread hii umefankiwa kwa hatua zipi/ umewekaje mkuu...Finally nimeweka android 6 kwenye tecno C8