Kuna tecno za laki tano na kuna samsung za laki na 70 sasa iweje tuishie kuona kwenye tv? Kama mtu kaweza nunua tecno ya laki mbili atashindwaje nunua samsung A2 from india?Tecno simu za wanyonge,itabaki kuwa ya wanyonge kutokana na teknolojia yake,huwezi linganisha na Apple au Samsung au Nokia.
Ila isingekuwa tecno wanyonge wangeishia kuona smartphone kwenye TV.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan hujawahi kwenda kwenye ofisi za Mobisol au za umeme wa jua utakuta wanaitumia umeme wa tanesco??Meneja wa Tecno Tanzania anatumia IPhone
Wewe kama mimi, nakumbuka nilipewa zawadi kazini nikaiuza siku hiyohiyoAwa ata watoe cm gani siwezi tumia
njaa bwana mbaya sana. Kisa hela mtu anaweza akasifia kua corona imeleta manufaa duniani kwani emissions zimepungua.Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Lulu alisema TECNO imefanya kazi nzuri na kwa wakati sahihi kuingiza CAMON 15 sokoni kwani simu hiyo ina uwezo mkubwa sana na anaamini itakata kiu ya watu wanaopenda kutumia kamera kama watu wa tasnia yake akiwemo yeye.
Una tshs ngapi nikuunganishe naye?mm lulu mzuri we mtoto jaman.. nimeishia kukutazama tu hapo habari na tecno sina kabisa...
Huawei ndo baba la smartphone duniani sasahivi hasa kweny camera na performance,P40 pro habari nyingine kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmelipia tangazo lakini? Au ndo bule yao ngalawa ya juma fereji!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmelipia tangazo lakini? Au ndo bule yao ngalawa ya juma fereji!
nmeipenda hii mwendo wa Neutral na free za MbeziMmelipia tangazo lakini? Au ndo bule yao ngalawa ya juma fereji!
hii s20 ultra ina miujiza gani mbona kila mtu anaizungumzia. Kuna jamaangu ana s10 pia anataka auze ahamamie huko huko?Hivyo mnanishauri niuze samsung galaxy note 10+ yangu ninunue tecno canon 15? Maana nilikua na mpango niuze hii niongezee ninunue s20 utra.
Ushauri tafadhali
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Meneja wa Tecno Tanzania anatumia IPhone
Alitakiwa aseme Processor iliyopo ni ya uwezo gani, screen resolution, MiliAmpshour za battery, upana na urefu wa simu, material ya simu nk, ila anaongea blaa blaaNyie Tecno wapuuzi sana yaani badala mtupe specification mnaleta mambo ya Camera yenye kupiga picha muda wowote.
Mnasema simu inakaa na chaji kwa nini ikae na chaji sana toeni sababu, yaani PRO wenu anashindwa kweli kuweka maelezo kwa umma yasiyoacha maswali.
Wapuuzi kweli ndiyo maana hata simu ni za kipuuzi.