Tecno Camon 15 yazinduliwa rasmi

D.Mchambuzi kumbe anapenda tecno!
 
Wamekomaa kuonesha mp 64 na 32 za camera kwakuwa wanajua hamna kitu humo.

Simu inauzwa laki 4 lakin
Haina fast charger mwaka 2020
Haina usc type C
Ina processor ya mediatek p35
Hii processor ipo kwenye umidigi na black view za laki 2
Simu si water resistant


Dumelang
 
Lipeni laki moja tu muwe platinum member. Laki inawashinda??
 
Tena Umidigi S5 Pro Ni mashine hatari aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie hadhi yenu n mulika mwiz yani
Vidoch

Mambo ya smart phone waachien
Huawei tu baba lao

god is good
 
mm lulu mzuri we mtoto jaman.. nimeishia kukutazama tu hapo habari na tecno sina kabisa...
Aisee, kweli wanaume tunatofautiana mtazamo. Uzuri wa huyo binti ni nini? Mwanamke akishakua mfupi hawezi tena kua mzuri. Mbaya zaidi ni mfupi halafu hana tako, hana hips. Yaani mwanaume unapagawa na sura?
 
Maelezo mazuri lakini vitu muhimu kama specs na bei hamjaandika sijui mnasubiri nini ?
 
Lulu wa kipindi cha kanumba na wa sasa.....wa sasa mbona kawa wa kawaida sanaaa
 
Bei yake inauzwa shilingi ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…