nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaweka price comparison

Ni kifaa cha mawasiliano.TECNO SIO SIMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba maelezo kuhusu hii simu ndugu yangu... Nina mpango wa kununua simu hivi karibuni kati ya Huawei, iPhone au Samsung.
Mepitwa na Nokia5. 1 japo bei mnalinganaHujaweka price comparison