mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
Kwa anayefaham nawezaj kuroot tecno C9 bila laptop??! Nimejaribu application tofauti tofauti kam vile kingroot,, framaroot lakini zote imeshindikana,,, msaada tafadhali
Nimekuelewa mkuu ila hujaniambia nikiroot nn kitatokea ingekuwa ni vema ukaniambia ili nifahamNakushauri usiiroot hiyo simu,
kwanin unataka kuroot?Nimekuelewa mkuu ila hujaniambia nikiroot nn kitatokea ingekuwa ni vema ukaniambia ili nifaham
Kuna baadhi ya built in applications nataka ku unstall ,, thn niweke zinginekwanin unataka kuroot?