unauhakika na unacho kinena? Kwa umeme upi? Malighafi toka kwenye viwanda vilivyokufa? sasa kama vimekufa vitazalisha vipi? can dead thing produce anything? unamaanisha nini unaposema viwanda vyetu ( wewe na nani)?
KWANINI usifikirie kuzalisha malighafi kwa viwanda vilivyo hai kwanza?