Poleni na majukumu kama kichwa kinavyojieleza kwa wajuzi wa technology kama ilivyo TV station hivi Hakuna kifaa kama dish ambacho kinacombine radio zote za Tanzania almost kinakuwa kinaradio zaidi ya 100 na kushika vizuri radio zote uwe popote Tanzania ahsanteni wajameni nimewaza tu kazi njema