Brilliantscene moja ambapo Neo anafukuzwa na moto, ina sekunde sita ila ilichukua miezi 6
Bongo bwna acha tu, jana nimecheck movie moja a South Africa imetoka tarehe 17 mwezi uliopita, kwa ajili ya netflix inaitwa seriously.single. Haina action ni story nzuri tu. Kuna akina Majola, wale wa isindigo. Uzuri wa movie siyo lazima action.Brilliant
scene ya sekunde 15, imechukua miezi 6 kuizalisha
Bongo Muvi, filam ya lisaa 1.5, imechukua wiki 2 ( au pungufu ) kuisha
Hakika! Afrika Kusini ndio taifa kutoka nchi ya Afrika lenye leseni II (2B) ya kuwezesha kuandaa na kusambaza filamu Hollywood.Bongo bwna acha tu, jana nimecheck movie moja a South Africa imetoka tarehe 17 mwezi uliopita, kwa ajili ya netflix inaitwa seriously.single. Haina action ni story nzuri tu. Kuna akina Majola, wale wa isindigo. Uzuri wa movie siyo lazima action.
[emoji23] [emoji23]Brilliant
scene ya sekunde 15, imechukua miezi 6 kuizalisha
Bongo Muvi, filam ya lisaa 1.5, imechukua wiki 2 ( au pungufu ) kuisha
Kiukweli Hiyo movie kama ingetengenezwa kwa Teknolojia ya sasa basi wasingechukua muda mrefu hivyo. Softwares za sasa ziko vizuri mno kucheza na CGI.
Umeshanichanganya..... Hapo kwenye frame mimi nakuwa naelewa zile frame za kufanyia biashara au frame za maduka.....Kuna vitu vingi sana kwenye CGI, mfano hivi unajua avatar iliwachukua mwezi kuirender, japo walikuwa wanatumia rendering farm iliyoko newzealand ikiwa ina super computer yenye kurender 1.5 million tasks per day, ikiwa na uwezo wa kuprocess 8 GB per second na ikiwa inafanya kazi saa 24 kila siku yani bado ikachukua mwezi. Kila frame moja ya Avatar ilikuwa inachukua masaa kurender sasa jiulize avatar moovie nzima ina frame ngapi?
Safi kabisa! Chini ya WETA Digital kampuni ya New Zealand iliyotoa msaada mkubwa kwa wahusika wa Avatar na kuwa mwanzo wao katika soko la dunia hadi walipohusika katika Valerian and The City of A Thousand Planets.Kuna vitu vingi sana kwenye CGI, mfano hivi unajua avatar iliwachukua mwezi kuirender, japo walikuwa wanatumia rendering farm iliyoko newzealand ikiwa ina super computer yenye kurender 1.5 million tasks per day, ikiwa na uwezo wa kuprocess 8 GB per second na ikiwa inafanya kazi saa 24 kila siku yani bado ikachukua mwezi. Kila frame moja ya Avatar ilikuwa inachukua masaa kurender sasa jiulize avatar moovie nzima ina frame ngapi?
Yah, Lord of the rings, Planet of apes piaSafi kabisa! Chini ya WETA Digital kampuni ya New Zealand iliyotoa msaada mkubwa kwa wahusika wa Avatar na kuwa mwanzo wao katika soko la dunia hadi walipohusika katika Valerian and The City of A Thousand Planets.
Unapotazama video au animation assume unarusha ngumi, mkono unapoanza kumove mpaka unampiga mtu, ni muunganiko wa mamia kama zio maelfu ya picha mpaka yanatengeneza kitendo. Hiyo picha moja moja ndo frameUmeshanichanganya..... Hapo kwenye frame mimi nakuwa naelewa zile frame za kufanyia biashara au frame za maduka.....
Aaaaaahaaaaa dah nilikuwa sijuiUnapotazama video au animation assume unarusha ngumi, mkono unapoanza kumove mpaka unampiga mtu, ni muunganiko wa mamia kama zio maelfu ya picha mpaka yanatengeneza kitendo. Hiyo picha moja moja ndo frame
Na hii ni moja ya mipango yangu kuona siku moja kampuni iliyobase katika taifa langu ikihusika katika utayarishaji wa filamu ya dunia.Yah, Lord of the rings, Planet of apes pia
Natazamia kutengeneza Company itakayokuwa na Sub-Companies itayoweza kuandaa, kutayarisha, kuchakata na kusimamia mauzo. Ikiwa na idara mbalimbali za production kuanzia Line, Post, Production and co.Unataka tengeneza rendering plant au production company ya effects kama ilivyokuwa ESC
All the best mkuu. Naona kwa sasa kwama industry inahamia kwa Arri Alexa kutoka RED, baada ya RED kumwangusha SonyNatazamia kutengeneza Company itakayokuwa na Sub-Companies itayoweza kuandaa,
kutayarisha, kuchakata na kusimamia mauzo. Ikiwa na idara mbalimbali za production kuanzia Line, Post, Production and co.
Just to be the Major Factory of Film, Audiovisuals, Production and Mixed Media Art.
Hii ina maana hawa ndio wataalam zaidi ya hao wazungu, maana wanatumia muda mfupi kufanya kazi kubwa!!!!! Si Eti?Brilliant
scene ya sekunde 15, imechukua miezi 6 kuizalisha
Bongo Muvi, filam ya lisaa 1.5, imechukua wiki 2 ( au pungufu ) kuisha
π π π π πHii ina maana hawa ndio wataalam zaidi ya hao wazungu, maana wanatumia muda mfupi kufanya kazi kubwa!!!!! Si Eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks, lakini siwezi kufanikisha pekee yangu, inahitaji uwekezaji na rasilimali watu.All the best mkuu. Naona kwa sasa kwama industry inahamia kwa Arri Alexa kutoka RED, baada ya RED kumwangusha Sony