Habar for past 2 days FAceapp imepata umaarufu mkubwa na watumiaji wengi je nyuma ya faceapp kuna technology ipi imetumika kuunda hii application je kuna any risk ya privacy kwa watumiaji wa hii app
Habar for past 2 days FAceapp imepata umaarufu mkubwa na watumiaji wengi je nyuma ya faceapp kuna technology ipi imetumika kuunda hii application je kuna any risk ya privacy kwa watumiaji wa hii app
Wanatumia Artificial intelligence, Toka developer maarufu mwenye experience ya kutosha. Ni project kubwa Sana na jamaa ana hela ndefu.
Kuna privacy concern ndio, terms zao zinasema picha unayo upload wanaweza kuitumia wanavyotaka wao, ni same na FB, Google na makampuni mengine yanayovuna data, hivyo Kama unatumia FB pia unatakiwa uwe concerned.
hii app ina risk kwenye privacy ina access picha zako zilizoko kwenye simu,so does Instagram!!
but wanaoipinga ni US sababu ni kampuni ya urusi,,,
technology wanayotumia ni A.I (Artificial intelligence)