Tueleze uzoefu wako ukoje. We uliwahi kucheat online hadi kufika hatua ya kuvunja amri ya sita au unasikia ya watu. Kwa upande wangu sijawahi na sitegemei kwa sababu sometimes huwa nahisi kuwa huenda ninaochati nao si watu - ni majini.
Hahahahahahaha lolUsijali mkuu..Mmmhhhh suntomfuata Wangu kwani nisichokijua hakitoniumiza..Afrodenzi wantisha hapoyaani mpaka cell phone trackers waijua?We hufai kuwa mke lol
[h=2]The Following 1 Users Say Thank You to Masaki For This Useful Post:[/h]afrodenzi (Today),
Jamani jamani Ivuga Nini tena dear ....nimekuona afro d
Wadau,
Maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari imefanya usaliti katika ndoa na mahusiano kuwa rahisi sana. Zamani ilikuwa vigumu sana kutongozana kwa kuwa ilikuwa ni lazima muonane na muwe mtaa, ofisi au sehemu moja kwa wakati huo.
Siku hizi kwa sms, BBM, facebook, twitter, emails na kadhalika, mambo yamerahishwa sana. Ndio maana hata uaminifu kwenye mahusiano umekuwa TESTED sana. Mwanamke aliyekuwa anaonekana muadilifu katika ndoa miaka ya 80 kwa kuwa tu hakuwa na jinsi ya kuwasiliana na anaotamani ku cheat nao, leo hii ata cheat tu kwa kuwa cheating iko kwenye damu yake.
Kwa hiyo yale mambo ya eti zamani kulikuwa na maadili sana sio ya kweli kivile. Ni kwa kuwa kulikuwa na kikwazo kikubwa katika mawasiliano na ndio maana hakukuwa na kasi kubwa ya CHEATING!!
Sio mtazamo wangu, huo ndio ukweli!
Hahahahahahaha lolUsijali mkuu..Mmmhhhh suntomfuata Wangu kwani nisichokijua hakitoniumiza..
hilo neno haswaa, usipokijua hakitakuumiza lakini once utakapokichimba ukakijua inakuwa ni mwanzo wa mlolongo wa matatizo na
kuumia
nimekuona unapiga makofiJamani jamani Ivuga Nini tena dear ....